Eric Wainaina Selina song lyrics
Eric Wainaina Selina song lyrics
Selina Nyambok, you're so beautiful
Sitamruhusu akuchape
Nami silali, sipati usingizi
Kula siwezi, ukilia
Selina Nyambok
You're so beautiful
Selina Nyambok
Wooh
Selina Nyambok, you're so beautiful
Ulitoka kwenu, bila alama
Huu si upendo, hiyo si heshima
Watu wazima, huongea
Kama si hivyo
‘ngeoa kondoo
Selina mrembo
Wooh
Selina Nyambok, you're so beautiful
Ntakuwakilisha, mbele ya wazee
Kama ni shuka, kama ni mbuzi
Ntawarudishia, mara mbili
Selina Nyambok
You're so beautiful
I want to marry you
So very, very beautiful
Selina Nyambok
You're so beautiful
I want to marry you
So very, so very beautiful
So very beautiful