AbcSongLyrics.com

Christian Bella Ollah song lyrics

Feat Khaligrap Jones
Christian Bella Ollah song lyrics
– Jones
Ollah Ollah
Is the OG Khaligraph Jones
Alongside Christian Bella
For the lovers out there
Ollah eh Ollah x4
{Verse One} – Bella
Iyeh Iyeh
Nimedata Kwa huyu Mwanamke Iyeh
Kila nikilala ananijia ndotoni
Ananipenda mpaka sielewi mbona
Kuna nini kwani, mbona ananichanganya
Akitembea anamwendo kama kinyonga eeh
Mtoto mzuri kama malaika
Najiuliza kipi nimefanya kupendwa na yeye

Ollah eh Ollah x4
Kesho ni siku yetu ya harusi
Tutafunga pingu ya maisha
Tutakula kiapo kwa Mungu baba
Na mbele ya dunia hatutakuja wachana
Maneno ya wapambe hapa hakuna nafasi
Vyumba vimekaza milango hakuna wala hata dirisha eh
Na wachekwa kanzo wangu mama
Waambie poleni hakuna pa kupenyeza
{Verse Two} – Jones
Hey I cant describe vile nahisi
Pendo langu kwako ni mazishi
Usijali na zao malalamishhi
ni wivu juu wanatamani kuwa sisi Bella
{Verse Two} -Bella
Chonga chonga Mpenzi usijeniacha kwenye mataa
Nakuahidi kukupenda mpaka mwisho
Mbona sifiki zote nimeshazima
Kwa moyo wa maisha we ndio kila kitu changu wee
Niende tena wapi kwako nimeshafika eeh

Ollah eh Ollah x4
Kesho ni siku yetu ya harusi
Tutafunga pingu ya maisha
Tutakula kiapo kwa Mungu baba
Na mbele ya dunia hatutakuja wachana
Maneno ya wapambe hapa hakuna nafasi
Vyumba vimekaza milango hakuna wala hata dirisha eh
Na wachekwa kanzo wangu mama
Waambie poleni hakuna pa kupenyeza
{Verse Three} – Jones
Also Read: Micasa Sucasa - Khaligraph Jones x Cashy
Nakuona akili yangu inachizi
Girl juu you're an angle you believe me
I wanna be on your side till I die
Umenifikisha juu napepea mushtaf
Juu ya hewa we ndio air hostess
Umenipea love crazy too
Them other coulples couldnt do it the way that we do
You're a queen unastahili sifa
Kwa kuniserve baby mimi sina budi
The shore of my dreams
Ring mimi ntakuvisha juu you look like a star
in a movie (say what)
N I know sometime inaweza kaa kasijali
Ni hali ya maboy wakitafuta mali, magari
Staki unishuku na maswali
Bt lengo langu ni eti uishi kifahari
So I promise to be here everyday
N its only to God that I pray
that between us everything is gonna be okay
Coz you really blow me away

Ollah eh Ollah x4
Kesho ni siku yetu ya harusi
Tutafunga pingu ya maisha
Tutakula kiapo kwa Mungu baba
Na mbele ya dunia hatutakuja wachana
Maneno ya wapambe hapa hakuna nafasi
Vyumba vimekaza milango hakuna wala hata dirisha eh
Na wachekwa kanzo wangu mama
Waambie poleni hakuna pa kupenyeza

Nakuona akili yangu inachizi
Girl juu you're an angle you believe me
I wanna be on your side till I die
Coz when I see you moyo wangu unafurahi