AbcSongLyrics.com

Sauti Sol Asubuhi song lyrics


Sauti Sol Asubuhi song lyrics
Wayo wayo
wayo wayo wayo wayo wayo
asubuhi ni sura yako niionayo
asubuhi ni sura yako niionayo niionayo
nikishukuru Mola kukuona we kweli
kweli ni baraka aah
in the morning it's your face i see
i boil inside you're here you're close to me
na tabasamu lako kanijaza furaha tele
mi niendelee kukuoenda