Christina Shusho Napenda song lyrics
Christina Shusho Napenda song lyrics
Napenda nione ukinitendea (I love seeing your work in me)
Napenda nione ukininbariki (I love seeing your blessings on me)
Napenda nione ukiniinua (I love seeing the way you lift me up)
Kila kitu kwako mimi napenda (I love everything that is yours)
Napenda nione ukiniponya (I love seeing your healing on me)
Napenda nione ukinifariji (I love seeing your comfort)
Napenda nione ukiniinua (I love seeing you lifting me up)
Kila kitu kwako Bwana mimi napenda (I love everything from you)
(repeat)
Napenda napenda, kila kitu kwako mimi napenda
(I love, I love, everything that is yours)
Napenda O napenda, Kila kitokacho kwako mimi napenda
(I love, I love, I love everything that is from you)
Yesu we napenda, mambo yako napenda
(Jesus I love everything that is yours)
()
Napenda neno lako (I love your word)
Napenda hekima zako (I love your wisdom)
Napenda sifa zako Yesu (I love your praises Jesus)
Kila kitu kwako mimi napenda (I love everything that is yours)
Napenda hukumu zako (I love your precepts/laws)
Napenda huruma zako (I love your mercies)
Napenda rehema zako (I love your grace)
Kila kitokacho kwako mimi napenda (I love everything that is from you)
Mfalme nakupenda (I love you my King)
Habari zako nazipenda (I love your word)
()
Napenda utawala wako (I love your rule)
Napenda ahadi zako (I love your promises)
Napenda njia zako Yesu (I love your ways Jesus)
Na mafudisho yako, na ukarimu wako (And your teachings, and your generosity)
()